kuna mda unaweza amua direction kwa kutumia trendline tu, lakini sasa uwe unajua unachokichora ni nini katika hizo trendline , siku hizi kuna watu wanachora demand na supply tu alafu anaonmesha wapi market itaelekea kitu ambacho si kweli kuna vitu vingi sana nje ya hizo supply na demand, je kwenye hiyo vchart hapo juu umegundua nini? je hii hapa chini?
HOW TO ANALYSE MARKET
byFOREX BUSINESS INDUSTRY
-
0
Post a Comment