HATUA MHIMU ZAKUZIFUATA KWENYE SOKO LA FOREX;

FUATA HATUA HIZI UNAPOKUA SOKONI UNAFANYA ANALYSIS NA KUCHUKUA TRADE

Imekua changamoto kubwa kwa traders walio wengi katika kipindi hiki ambacho kumekua na strategy nyingi sokoni, wengi wamekua na mkanganyiko wakutokujua aanzie wapi na aishie wapi katika kuchukua entry ,  Strategy ni nyingi lakini kitu naweza kukwambia leo kama umeanzia hatua ya price action ndipo ukafuata strategy nyingine basi hili andiko ni kwa ajili yako na yule uliruka hatua basi chukua hatua kuanzia sasa kabla haujachelewa sana na forex kabla haijakufilisi,


               1;JUA BIAS YA SOKO KWANZA,
Hapa watu wengi hawaelewi na wengi kwasasa sokoni wamekua wagonjwa amabao tiba yao imekua ngumu sababu wamegoma kupata matibabu mwisho wa siku wataumwa kwakuzania panado ni dawa yakutibu kumbe ni kutuliza maumivu tu, naamanisha nini hapa, ninachokimaanisha ni huu ugonjwa wa CHoCH na  BOS/BMS watu wamekua wakiamini kwamba trend ama direction ya market huamuliwa na hivi vitu kitu ambacho si kweli hivyo ni vitu vya ziada tu vyamsingi walishaachana navyo, utanielewa kwenye hatua ya tatu baada ya hii hatua ya kwanza, lakini kitu naweza kukwambia  zingatia market structure  na hapa waliowengi walishapotoka eti zile swing low na swing high wananaziita ndo market structure kwakweli strategy zimekua nyingi na nyingi zimetuachia doa na kuharibu uhalisia wa soko


Watu wengi wamedanganyika nakusema hapo kwenye hiyo skeleton chart juu wakidhania hivyo nilivyovionesha ni market structure kitu ambacho si kweli bali hizo ni peaks formation zakawaida tu



                                         2; JUA MARKET STRUCTURE INAYOENDESHA SOKO

 Hapa kuna moyo na kiini cha soko , wale mliopitia kwenye price action mlisoma structure zakawaida kama, head and shoulder , double top, double bottom, flag na mengineyo mengi lakini leo nataka nikwambie zipo structure ambazo zimekuja kuboreshwa zaidi na kupata structure ambazo zinaeleweka waoi zimeanzia na wapi zitaishia hapa nazungumzia structuer alizoziunda Elliot kupitia Elliot Wave theory, utakutana na flat, triangle, diagonals,truncation na zigzag lazima ujue maana yake wapi zinatumika kama continuation na wapi zinatumika kama reversal na ujue internal na external feature zao , hapa kuna vitu vingi sana vyakujifunza ni somo la wakati mwingine leo niishie kwakusema tu kitu cha pili ni hiki ambacho huamua wapi soko liende
                                    
                                                                     

                                                           

                                                              
                                    


                                   3; IJUE MARKET CYCLE,
Hapa unapaswa kuzingatia mzungungo halisi wa soko, mfano kuna watu wanatumia supply and demand , lazima ujue soko katika hizo critical zone zako mzunguko upoje na unatakiwa ufanye nini, lakini pia kuna watu wanatumia BTMM  na kuna wengine wanatumia ICT AMA SMC levels lazima ujue soko linamzunguko gani na sifa ya kila level na ujue level flan ikiisha ina sifa zipi na mpya ikianza ina sifa zipi, lakini pia kuna watu ambao wanatumia ELLIOT WAVE THEORY  hawa binadam wana uwanja mpana zaidi wakutambua wapi soko lilipo na anapaswa kufanya nini katika hilo eneo soko lilipo

                                                                



                                                                     
                                                             

                                                                       
                          Ukijua market cycle una uwezo mkubwa sana wakujua nini chakufanya kila eneo

SASA NIWASANUE KWA KITU AMBACHO UNAPASWA KUKIJUA NAKUKIELEWA 
kuna hawa watu ambao wameanza siku za hivi karibuni wameanza kutrade kitu kinaitwa liquidity, ni kitu kizuri sana sokoni tena kizuri mno , lakini wanavyokitumia sasa ndo shida inapoanzia wengi wamekua wakizania yakua kile ndicho kinachoitwa technical analysis kitu ambacho si kweli ndiyo maana wengi wamekua wakililia sniper entry lakini wameishia kuwa loser na soko linawatesa sana lakini public wanaonesha tabasamu nakuonesha soko wamelipatia lakini ukweli ni wanateseka sana na uchumi wao ni hafifu sana hivyo usiingie katika mtego huo,

Hapa nakupa njia fupi itakayokusaidia kutrade hizo liquidity na unaenda kuwa hatari sana sokoni, fanya hivi , vijue vitu vyote nilivyovitajha pale juu ndani nje, kisha uje usome hizi liquidity kwa kina kisha zitumie kama entry tu zikiwa ndani ya vile vitu nilivyovitaja pale juu yaani hizi liquidity kwako kiwe ni kigezo chako cha mwisho kuingia sokoni na kisiwe kigezo cha kwanza wakati unafanya analysis zako sokoni,


mwisho , kwa ushauli na mafunzo ya forex wasiliana nami kwa nambali 0766667797

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

ads

ads