INTRADAY TRADER
=> Huyu ni trader anayefunga oda zake ndani ya masaa 24 hivyo time frame yake nzuri ni kuanzia 1 hr kushuka chini
ANALYSIS
=> Hatua za kufuata katika analysis hii
1-> Tumia 1 hr tf kuchora rectangular ambayo itameza candlestick zote kuanzia siku imeanza mpaka za saa tatu asubuhi yaani candle zote za Asian
2-> Candle ya kwanza ya siku ni ya saa sita usiku hivyo tunahesabu candle ya mpaka saa tatu asubuhi kwa kutumia 1 hr tf
3-> Baada ya kuchora kibox katika 1 hr tf shuka mpaka tf ndogo hasa 15 min ndio hizo patterns huonekana vizuri.
4-> Baada ya Asian session tunaanza kuangalia London pattern ambazo kimsingi ni M na W
M for sell
W for buy
Baada ya Ku switch 15 min unaweza kuona hiyo london pattern
Post a Comment