Soko la Forex linaendeshwa na sehemu kuu tatu.
1-> Financial institutions or smart money
2-> Market makers
3->. Broker
=> Lakini nguvu kubwa IPO Kwa market makers
=> Soko la forex in la Big Boys au kwa jina lingine wanaitwa Smart money hawa ni investors wakubwa inaweza kuwa ni mtu au taasisi.
=> Smart money kwa sababu wao wanawekeza pesa kubwa sana katika kununua na kuuza bidhaa Fulani.
=> Mfano Bank Fulani imenunua GBP/USD katika price X kwa kuwekeza pesa kubwa sana hivyo ni lazima Soko liende kule ambako wao wamewekeza pesa zao.
=> Sasa hawa Smart money wanaamua kuwatafuta Elite traders (market makers) kwa kuwapa pesa ili waweze kutengeneza liquidity kwa traders wadogo. Lengo ni kukusanya contract nyingi za buyers na sellers kisha kubwa fool kwa direction ya uongo na kisha kuwapiga stop hunt za maana ili watoke nje ya Soko halafu zile pesa ziingie kwa Smart money
STOP HUNT
=>stop loss hunting
=>Uwindaji wa stop loss
=> Hivyo hawa market makers wanalipwa kabisa ili kutudanganya sisi wa mitaji midogo
=> They are there to take our miner
Hawa market makers wana cycle zifuatazo (mizunguko ya Soko)
1-> Intraday cycle (mzunguko wa siku)
2-> Weekly cycle (mzunguko wa wiki)
INTRADAY CYCLE
=> Soko Lima session kuu tatu ambazo ni
1-> Asian
2-> London
3-> New York
=> Kwenye Asian huwa wanafanya consolidation
=> Kwenye London huwa wanafanya true movement of the day
=> Kwenye New york huwa kuna mambo mawili
1-> Kama Soko halikuwa na movement kubwa kwenye London basi litatembea sana kwenye New york
2-> Kama Soko lilitembea sana kwenye London basi kwenye New york litafanya Reversal na Ku consolidate
=> Kufanya consolidation ni kwa ajili ya kukusanya contract kisha kuamua soko lielekee wapi
=>Asian huanza saa 6 usiku hadi saa 3 asubuhi
=> London huanza saa 4 asubuhi hadi saa 1 usiku
=> New york huanza saa 9 mchana hadi saa 6 usiku
=> Soko huwa lina move sana kwenye London session hivyo wakati mzuri wa kufanya analysis kwa day trader ni saa tatu asubuhi
=> Kwa sababu soko linatembea sana kwenye London na hivyo ni muda mzuri wa kutafuta fursa lakini pia kitu kikubwa ni kuangalia kiashiria cha market maker maana huwa wanaonesha wazi kuwa soko linaenda wapi
=> Viashiria hivi huitwa London patterns
Tazama picha 👇👇👇
Post a Comment